Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge
iliyokuwa ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunda Dk Peter Kafumu
(CCM).
Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu
imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge.
Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye dhidi ya
Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.
No comments:
Post a Comment