Sunday, October 7, 2012

Mazishi ya Kardinali Rugambwa katika picha

Matukio mbalimbali ya mazishi ya Kardinali Rugambwa kutoka kanisa la Kashozi hadi Kanisa kuu la Katoliki mjini Bukoba ambapo mwili wake umezikwa rasmi tarehe 6/Octoba/2012 baada ya kuhifadhiwa kwa muda kwa kipindi cha mika kumi na mitano katika kanisa la Kashozi

No comments:

Post a Comment