Sunday, May 13, 2012

Heshima iwepo!

Mwaka jana Kanali Fabian Massawe akiwa katika ofisi yake wakati huo akiwa Mkuu wa wilaya ya Karagwe
Hapa ni ofisi yake ya sasa baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.Matukio mawili tofauti yanawaonyesha waandish wa habari Angela Sebastian na Audax Mutiganzi wakiwa katika ofisi yak mara baada ya kuwasili kutoka jijini Dar waliposhiriki fainali za Waandishi Bora wa Habari kwa mwaka 2011.

No comments:

Post a Comment