Wednesday, May 16, 2012

Patrick Mafisango is no more

Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya soka ya Simba Patrick Mafisango amefariki Dunia kwa ajali ya Gari maeneo ya Keko jijini Dar es Salaam akitokea Maisha Club saa tisa usiku wa kuamkia leo.Jeshi la Polisi limethibitisha taarifa za kifo cha mchezaji huyo na endelea kufuatilia mtandao huu kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment