Monday, May 7, 2012

Mwenyekiti wa KCU akiomba ulaji kwa wakulima

Mwenyekiti wa Bodi ya KCU (1990)LTD John Binushu akiomba kura za kutetea nafasi yake.Alipita bila kupingwa!.KCU ni Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kagera
Leonida Muhazi naye alitetea nafasi yake ya kuendelea kuwa mjumbe wa Bodi ya KCU
Tafakari kabla ya kupiga kura ya kugawa ulaji
Tunaunga hoja mkono,hakuna haja ya Mwenyekiti aliyepita bila kupingwa kupigiwa kura ya ndiyo au hapana!

No comments:

Post a Comment