Wednesday, May 9, 2012

Mgambo wa Biharamulo jibu tuhuma hizi

Hamis Shimbi mkazi wa Kata ya Rukaragata wilaya ya Biharamulo akiwa amevunjika mkono kwa madai ya kushushiwa kipigo na mgambo wa Stend ya Biharamulo.Kamera yetu ilimkuta mitaa ya Mji wa Bukoba akitafuta msaada wa matibabu kwa wasamalia wema.

No comments:

Post a Comment