Thursday, May 10, 2012

Uzee dawa!

Wazee katika kituo cha Kiirima kilichopo Tarafa ya Bugabo wilaya ya Bukoba.Mmoja wao akiwa amebebwa na mhudumu wa kituo kutoka nje ya chumba anacholala baada ya kutojiweza kutembea mwenyewe
Huyu amekula pozi kwenye chumba chake

No comments:

Post a Comment