![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Samwel Kamote akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari 34 kutoka Mkoa wa Kagera katika Ukumbi wa Hotel ya Walk Guad |
![]() |
| Waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi,Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Samwel Kamote.Wengine ni Maofisa wa PCCB Mkoa wa Kagera na Makao Makuu |
![]() |
| Fili Karashani ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Maisha yenye mafanikio katika uandishi wa habari(kushoto)ni miongoni mwa wawezeshaji wa mafunzo kwa waandishi 34 wa habari wa Mkoa wa Kagera |
![]() |
| Baadhi ya washiriki wa mafunzo |




No comments:
Post a Comment