Thursday, May 10, 2012

T-shirt na jeans

Mwamuzi wa mchezo wa fainali kati ya Kemondo A na B za mji wa Kemondo wilaya ya Bukoba akiwa ametinga T-shirt na Jeans ambavyo havikumpa Uhuru wa kukimbia kuendana na kasi ya mchezo na badala yake uamuzi wake kwa kiasi kikubwa kutegemea waamuzi wasaidizi-vibendera 

No comments:

Post a Comment