Monday, April 16, 2012

Aisifuye Mvua.......Imemnyea!

Mwishoni mwa wiki Kamera yetu ilimnasa mkazi huyu karibu na kituo kikuu cha Mabasi Mjini Bukoba akiwa na mzigo wa mteja wake kwenye baiskeli.Haikufahamika mara moja kama bado alikuwa anasherekea Ushindi wa Arumeru.

No comments:

Post a Comment