Monday, April 16, 2012

Inakuhusu pia,Mtoto Anitha anaomba msaada wako

Mtoto Anitha Alex ambaye anahitaji msaada kwa ajili ya upasuaji wa kichwa kama anavyoonekana
Miongoni mwa habari zilizochpishwa kwa ajili ya kuomba wasamalia wema kujitokeza kumsaidia Anitha mwenye umri wa miaka miwili
Anitha akiwa na Mama yake Juster Vedasto wakati akizunguka katika mitaa mbalimbali ya mji wa Bukoba akitafuta msaada kwa ajili ya mwanaye.Ukihitaji kumsaidia unaweza kuwasiliana naye kwa simu Namba 0765230488

No comments:

Post a Comment