Saturday, April 14, 2012

Taswira ya Mji wa Muleba leo jioni

Mzee katika harakati za kusaka ridhiki
MUNGU si Athumani,hatimaye mzee huyu amepata mteja wa matunda
Kituo cha magari(Stend)katika mji wa Muleba.asafiri na watu kutoka maeneo mbalimbali kila mmoja akijali hamsini zake

Pilika pilika zinaendelea katika stend ya Muleba

No comments:

Post a Comment