Thursday, April 12, 2012

Aliyewahi kuwa Gwiji wa Masuala ya Uchumi marehemu  Profesa Justinian Rweyemamu
Wananchi wa kijiji cha Bwegeme.Kata ya Katoma na wengine kutoka maeneo mbalimbali wakiburudika kwa vinywaji baada ya Misa ya kumbukumbu
Huyu bibi naye hakuwa mbali na matukio ya kumbukumbu ya kumuenzi Profesa Justinian Rweyemamu
Nasema hivi maliza hiyo kwanza nikuongezee nyingine!
  Mini mbona hujanijazia Rubisi,hebu ongeza kidogo basi.

No comments:

Post a Comment