![]() |
| Eneo maarufu kwa jina la Mlima wa Simba katika pori la Biharamulo likiwa linasambaratishwa katika utengenezaji wa barabara ya kiwango cha lami unaoendelea kuiunganisha Muleba na Biharamulo |
![]() |
| Kambi ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu barabara kuu ya kuelekea Wilaya ya Ngara.Machmbo hayo yapo wilaya ya Biharamulo |
![]() |
| Wanunuzi wakiuziwa nyama katika Kijiji cha Rusumo wilayani Ngara |



No comments:
Post a Comment